Numbers 6:23-27

23 a“Mwambie Haruni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
24 b“ ‘ “Bwana akubariki
na kukulinda;

25 c Bwana akuangazie nuru ya uso wake
na kukufadhili;

26 d Bwana akugeuzie uso wake
na kukupa amani.” ’

27 e“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Copyright information for SwhKC